Loading…

Uharibifu

Tuta absoluta huadhiri nyanya na kusasababisha hasara ya hadi 100% kwani huchimbua matawi na matunda ya nyanya.Ugunduzi wa mwanzo ulikua ulaya,uhispania 2006.wamesambaa haraka afrika kaskazini na mashariki,kusababisha uharibifu nyanya.

Tuta absoluta huzaana upesi mdudu wa kike anaeza taga mayai mia maishani

Russsel IPM imeendeleza njia za kibiorazini kupambana na wadudu hawa waharibifu. Mfumo uhusisha vishawishi vya pheromoni za wadudu,mitego,viududu vyakibiorazini na wanyama wenye manufaa katika mazingira madogo,kurechaji mchanga ili ustahimi Tuta Absoluta.

Nyanya

Tuta absoluta on Tomato in Crete August 2009 01

DSCN0820

Viazi

tuta potato

Mbilingani

Tuta absoluta on egg plant in Crete August 2009 01

DSCN0820

Pilipili tamu 

20141121_091902_resized

20141121_091755_resized

X
- Enter Your Location -
- or -