Loading…

Utambuzi wa Tuta absoluta

Utambuzi wa Tuta absoluta 
• Wana urefu wa 5-7 mm na upana wa bawa wa 8-10 mm.
• Wa kike hutaga mayai mmeani na kutaga mayai hadi 260.
• Mayai ni madogo ya silinda rangi ya malai, nyeupe kwa manjano na urefu wa 0.35 mm.
• Kuaguliwa kwa mayai ni siku 4-6 baada ya kutagwa.
• Mabuu huwa wa rangi ya malai wenye sifa za utepe mweusi kichwani.

Untitled-2wq

X
- Enter Your Location -
- or -