wadudu waharibifu wa nyanya
Tokea ueneaji wa Tuta absoluta nchini Uhispania mwaka 2006, kampuni ya Russell IPM ilijihusisha na kampeini za kuhamasisha dhidi ya kupambana na wadudu hawa hater.
Tuta absoluta, wadudu waharibifu wa nyanya, huadhiri nyanya na kusasababisha hasara ya hadi 100% kwani huchimbua matawi na matunda ya nyanya. Ugunduzi wa mwanzo ulikua ulaya, uhispania 2006. Wamesambaa haraka afrika kaskazini na mashariki, kusababisha uharibifu nyanya.Tuta absoluta huzaana upesi mdudu wa kike anaeza taga mayai mia maishani.
Russell IPM imeendeleza njia za kibiorazini kupambana na wadudu hawa waharibifu.mfumo uhusisha vishawishi vya pheromoni za wadudu, mitego, viududu vyakibiorazini na wanyama wenye manufaa katika mazingira madogo, kurechaji mchanga ili ustahimi Tuta absoluta,wadudu waharibifu wa nyanya. Russell IPM imeendeleza njia za...
Tuta absoluta Tanzania wadudu waharibifu wa nyanya Tuta absoluta huletwa na nyanya zilizoathiriwa bila kugunduliwa na tunakuwezesha kuwatabua mapema. Mitego ya delta ni sahihi,waeza baini waziwazi kwa mchanganyiko wa kipekee wa pheromoni na mitego nata.Tuta absoluta Tanzania wadudu...